KUU ENGLAND
MATOKEO:
Jumamosi Oktoba 24
Aston Villa 1 Swansea 2
Leicester 1 Crystal Palace 0
Norwich 0 West Brom 1
Stoke 0 Watford 2
West Ham 2 Chelsea 1
Arsenal 2 Everton 1
Bao za Olivier Giroud na Laurent Koscielny ndizo zilizowapa ushindi huku Everton wakifunga Bao lao kupitia Ross Barkley.
Everton wangeweza kusawazisha kama si Kichwa cha Romelu Lukaku kupiga posti.
MAGOLI:
Arsenal 2
-Giroud 36′
-Koscielny 38′
Everton 1
-Ross Barkley 44′
Everton walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Kiungo wao Gareth Barry
Kutolewa nje katika Dakika za Majeruhi kufuatia Kadi za Njano 2.
VIKOSI:
Arsenal: Cech, Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Sanchez, Giroud.
Akiba: Debuchy, Gibbs, Walcott, Flamini, Chambers, Campbell, Macey.
Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Galloway, McCarthy, Barry, Lennon, Barkley, Deulofeu, Lukaku.
Akiba: Robles, Kone, Mirallas, Naismith, Cleverley, Osman, Funes Mori
REFA: Lee Mason
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumapili Oktoba 25
1500 Sunderland v Newcastle
1705 Bournemouth v Tottenham
1705 Man United v Man City
1915 Liverpool v Southampton
0 comments:
Post a Comment