Sunday, 25 October 2015

MGOMBEA URAISI WA TLP MACMILIAN LYIMO ARUHUSIWA KUPIGA KURA

 Mgombea urais wa TLP, Macmillan Lyimo amepiga kura yake muda mfupi uliopita, asema hapakuwa na fomu namba 19 lakini kitambulisho alikuwa nacho  

Taarifa hii imetoka muda huu na mwandishi wetu mkoa wa  kilimanjaro 

0 comments: