Sunday, 25 October 2015

MGOMBEA WA URAISI WA TLP MAXIMILIAM LYIMO ASHINDWA KUPIGA KURA

Mgombea wa urais wa TLP, Maximillian Lyimo ameshindwa kupiga kura yake leo Kituo cha Njia Panda baada ya kwenda bila kitambulisho cha kura 

0 comments: