Saturday, 24 October 2015

SUMAYE ONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA MWANZA KUFUNGA KAMPAINI LEO Angalia Hapa

Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye leo ameongoza maelfu ya wakazi wa mkoa wa Mwanza, katika kilele cha kampeni za chama cha demokrasia na maendeleo ambacho ni miongoni mwa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi Tanzania -UKAWA.
Kilele cha Kampeni hizo kimefikia tamati katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mbugani, uliopo wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, kikitanguliwa na salama za viongozi mbalimbali wa Chama hicho, zinazolenga kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura viongozi waChama hicho.





ma hicho.

0 comments: