Monday, 26 October 2015

NAE AGGREY MWANRY APOTEZA JIMBO LA LAKE LA SIHA LA CHUKULIWA NA CHADEMA



Jimbo la Siha
Ubunge: Dk Godwin Mollel (Chadema) 22,746 na Aggrey Mwanry (CCM) 18,584.
 
Msimamizi wa Uchaguzi, Rashid Kitambulio amemtangaza Dk Mollel kuwa mshindi wa jimbo hilo ambalo mbunge wake alikuwa ni Aggrey Mwanry (CCM).

Related Posts:

0 comments: