Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makala mwishoni mwa wiki aliendelea na ziara ya
siku tano ya kuangalia miradi ya maji jijini Dar es Salaam na Pwani,
ambako alifika Kimbiji na Mpera kuangalia mradi wa visima virefu vya
maji.
Mkurugenzi wa DAWASA, Archad Mutalemwa akimuonyesha Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala kisima cha Mpera.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makala akisikiliza maelezo kutoka kwa Inj. Romanus
Mwang’ingo wa DAWASA (kushoto ktikati) katika kisima cha Kimbiji na
Mkurugenzi wa DAWASA, Archad Mutalemwa (katikati) akisikiliza.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makala akifungua maji katika mradi kisima cha
Kimbiji, akiwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kichangani, Mbegu Miraji.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akisikiliza maelekezo kutoka kwa Mkandarasi kuhusu kisima cha Kimbiji.
Mradi wa maji wa kisima cha Kimbiji chenye mita 600 kikiwa katika mchakato wa kuchimbwa.
0 comments:
Post a Comment