Wednesday, 12 February 2014

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA DKT GHARIB BILAL AFUNGUA RASMI KONGAMANO LA TAFAKURI NA MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. 
Picha na OMR

Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kongamano   10 
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo. 11 
Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo 12 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki Kongamano hilo baada ya ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR 3 5Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Bw. Ibrahim Lipumba akiwa katika kongamano hilo 6 
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo. 7
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.

Related Posts:

0 comments: