Ni kituo cha Daladala Miomboni Manispaa ya Iringa (Picha na Mnyalu)
Abiria wakisubiri Usafiri katika kituo cha daladala Miyomboni Manispaa ya Iringa (Picha na Mnyalu)
Na Martha Magessa
Adha ya
usafiri Manispaa ya Iringa ni tatizo hususani majira ya jioni na
kulazimika Abiria hao, kusubiri usafiri wa daladala kwa muda mrefu
kituoni hapo.
0 comments:
Post a Comment