Mario
Balotelli mwenye miaka 23 ni mshambuliaji hatari kwenye kikosi cha club
ya AC Milan na timu ya taifa ya Italy lakini pia anapenda sana
kutengeneza nywele zake kwenye style mbalimbali.
Balotelli ametumia account yake ya twitter kuonyesha style yake mpya
ya nywele kwa kuandika “Just finished my hair cut! Now going home to
sleep!”
Je, unavyoona huo ujanja aliongezea kwenye kiduku chake ametokelezea au haijamtoa?
0 comments:
Post a Comment