Tuesday, 4 February 2014

ETI ZAHA NI RONALDO MPYA


Wilfried-Zaha Cardiff-City-01-66554191 7cd1a
KOCHA wa Cardiff City, Ole Gunnar Solskjaer amesema kwamba anamtaka winga Wilfried Zaha awe kama Cristiano Ronaldo mpya. 
Winga huyo amejiunga Cardiff kwa mkopo akitokea Manchester United, lakini baada ya kucheza mechi moja tu kwenye klabu hiyo, kocha Solskjaer akaibuka na kusema huyo ni Ronaldo mpya na kwamba atamfaa sana David Moyes kwa siku za baadaye. Chanzo: mailonline

Related Posts:

0 comments: