FC Barcelona imefanikiwa kuingia kwenye fainali ya Copa Del Rey baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja na Real Sociedad katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya michuano hiyo.
Kwa matokeo hayo Barca wameingia fainali kwa jumla ya ushindi wa mabao 3-1 kwani mechi iliyopita walishinda 2-0 ambapo mchezo wa fainali ya Copa utakuwatanisha Barcelona dhidi ya mahasimu wao Real Madrid ambao jana waliitoa Atletico Madrid kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-0.
Unaambiwa fainali itachezwa April 19.
0 comments:
Post a Comment