Dkt. Abdallah Kigoda, Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.
Waziri wa viwanda na biashara ambae pia ni Mbunge wa jimbo la Handeni Dr Abdalah Kigoda amefariki dunia nchini India wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Appolo.
Habari kamiri inakujia hivi punde hapahapa
0 comments:
Post a Comment