HOME »
» BREAKING NEWS AJALI YATOKEA MUDA HUU TAX NA BODABODA MAENEO YA SIMIKE MBEYA
 |
Picha hii sio ya halisi nimoja ya ajali ya bodabboda iliyo tokaea picha na makta |
kwa taarifa zilizo fikia mtandao huu hivi bunde ni kua Ajali
kati ya tax na bodaboda inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni ulevi
tax yaingia mtaroni na dreva wa bodaboda avunjika miguu yote ajali hiyo
imetokea leo february 11 muda huu wa saa 9:12 usiku huu katika maeneo
ya simike barabara kuu mbeya to Dar katika mokani mbeya
kawa habari kamili inakuja eendelea kutembelea matando huu wa mbeya greennewsblosport.com
0 comments:
Post a Comment