Joyce Kiria: (Picha) Wanawake wa Tanzania Tukimbilie Wapi?
Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita, huko wilaya ya BUKOMBE mkoani GEITA.
Tukio hili liliripotiwa na RFA. Ni matukio yanayotokea mara kawa mara, wahanga wakubwa (watendwa) ni WANAWAKE.
Cha
ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi. Wanawake
tusimame pamoja kusema inatosha kwa unyama huu mkubwa tunaofanyiwa!
Poleni kwa picha hii mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu…
Natamani hamasa ya kutokomeza ukatili ingefanyika kwa chopa.
0 comments:
Post a Comment