HOME »
» TAWI LA NMB SUMBAWANGA LABORESHWA KUKIDHI MATAKWA YA WATEJA WAKE
Tawi
jipya la NMB Sumbawanga ambalo limehamishwa kutoka jengo la Bima
lililopo makutano ya Mpanda-Msakila na linatoa huduma mbali mbali za
kibenki na pia lina mashine tatu (3) za ATM.
Afisa
wa Mikopo tawi la NMB Sumbawanga, Godwin Nguma akimhudumia mteja wa
mkopo katika tawi jipya la NMB Sumbawanga lililohamishwa kutoka jengo la
Bima lililopo makutano ya Mpanda-Msakila.
Wateja wa benki ya NMB Tawi la NMB Sumbawanga wakiendelea kupata huduma za kibenki katika tawi jipya la NMB Sumbawanga. Tawi hili linatoa huduma mbali mbali za kibenki na pia lina mashine tatu (3) za ATM.
0 comments:
Post a Comment