Kila siku hapa MTANDAONI huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi.
Lengo la MTANDAO HUU ni kuhakikisha kila Mtanzania anaweza kusoma
stori kubwa za Magazeti kabla ya saa 3 kamili asubuhi ambapo kwa
mwaka 2014 lengo ni kuhakikisha Magazeti yanakuepo hapa hata kabla ya saa 2 asubuhi.
0 comments:
Post a Comment