Wednesday, 1 January 2014

WAZIRI WAFEDHA DK WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA

Waziri wa Fedha, Dr. Willliam Mgimwa afariki dunia baada ya kuugua muda mrefu!

3

 


Kwa taarifa za watu wa karibu wa familia ya Waziri wa Fedha na Uchumi Dkt. William Mgimwa zimethibitisha kwamba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipata matibabu.
Mbeyagreennews blog inaendelea kufuatilia kwa karibu na hivi punde tutawajulisha.
 HII NDIO  HISTORIA      FUPI YA WAZIRI WA FEDHA WILLIAM MGIMWA
The Minister for Finance and Economic Affairs Dr William Mgimwa
Historia fupi ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dr. William Mgimwa aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kuzaliwa: Januari 20, 1950 Kalenga Iringa.
Elimu:
1966 - 1967 Shule ya Msingi Tosa
1961 -1965 Shule ya Msingi Wasa
1970-1971 Seminari ya Mafinga
1968 - 1969 Tosamaganga Sekondari
1975 - 1984 Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) - Postgraduate in Finance
1989 - 1991 IDM Mzumbe (MBA - Finance)
Ajira
1981 - 2000 - NBC Ltd (Mhasibu, Mhadhiri, Mkurugenzi, Mkurugenzi Mkuu)
2000 - 2010 - Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Mwanza (Mkuu wa Chuo)
2010 - 2013 - Mbunge, Kalenga (CCM)Na waziri wa fedha wa tanzania
Kufariki: Januari 1, 2014

0 comments: