![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, |
![]() |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kiwete kutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos, Uswisi |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe. Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Sheraton Davos, Uswisi |
![]() |
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014(picha na Ikulu) |
0 comments:
Post a Comment