Saturday, 25 January 2014

RONALDO ATEMBEZA BALLON D’OR BERNABEU, REAL IKO KILELENI!

>>LA LIGA: REAL NAMBARI WANI, JUMAPILI BARCA, ATLETICO KUIPIKU??
Bao za Cristiano Ronaldo na Karim Benzema leo ziliipa ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na Granada Uwanjani Santiago Bernabeu na kutwaa uongozi wa La Liga wakiwa Pointi 2 mbele ya Barcelona na Atletico Madrid zennye Mechi 1 mkononi.
Kabla Mechi kuanza, Cristiano Ronaldo alionyesha Kombe lake la Ballon D’or alilotunukiwa baada kutwaa Tuzo ya FIFA ya Mchezaji Bora Duniani.

LA LIGA:
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Real Madrid CF
21
17
2
2
60
21
39
53
2
FC Barcelona
20
16
3
1
54
13
41
51
3
Atletico Madrid
20
16
3
1
48
12
36
51
4
Athletic Bilbao
20
12
3
5
36
26
10
39
5
Villareal
20
11
4
5
39
21
18
37
6
Real Sociedad
20
9
6
5
38
30
8
33
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
RONALDO-BALLON_DOR_BERNABEUBao la Ronaldo, la 22 kwenye La Liga na ambalo linamfanya aongoze katika ufungaji Mabao, lilifungwa katika Dakika ya 56.
Karim Benzema alipiga Bao la Pili katika Dakika ya 74 baada kazi njema ya Ronaldo na Marcelo.
Kesho Jumapili Mabingwa Watetezi na Vinara wa La Liga, Barcelona, watakuwa kwao Nou Camp kucheza na Malaga.
Barca wataingia kwenye Mechi hii huku Klabu yao ikikumbwa na mgogoro mkubwa baada Juzi Rais wao, Sandro Rosell, kujiuzulu kutokana na Skandali ya Uhamisho wa Neymar.
Hiyo hiyo Jumapili, Atletico Madrid, ambao wako Nafasi ya Pili Pointi sawa na Barca, watakuwa Ugenini kucheza na Rayo Vallecano.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Real Madrid: Diego Lopez, Pepe, Sergio Ramos, Ronaldo, Xabi Alonso, Carvajal, Modric, Di Maria, Benzema, Bale, Marcelo
Granada: Roberto, Nyom, Mainz, Munilo, Angullo Iturra, Fatau, Recio, Brahimi, El Arabi, Piti
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Januari 24
Celta de Vigo  4 Real Betis 2
Jumamosi Januari 25
Real Madrid CF 2 Granada CF 0
[Saa za Bongo]
20:00 Real Valladolid v Villarreal CF
22:00 Valencia v RCD Espanyol
24:00 Sevilla FC v Levante
Jumapili Januari 26
14:00 UD Almeria v Getafe CF
19:00 Osasuna v Athletic de Bilbao
21:00 Rayo Vallecano v Atletico de Madrid
23:00 FC Barcelona v Malaga CF
24:00 Real Sociedad v Elche CF

0 comments: