Mpiga picha mkuu wa Ikulu Issa Michuzi kushoto akijiandaa kuwapiga picha viongozi wa mkoa wa Iringa na rais Kikwete |
Rais Kikwete akiteta jambo Hamad Rashid (CUF) aliyefika uwanja wa Ndege Nduli |
Rais Kikwete akisalimia na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa na muasisi wa TANU mzee Tasili Mgoda mara baada ya kukutana uwanja wa ndege Nduli wakitokea kumzika Dr Mgimwa |
Rais Dr Jakaya Kikweteakifurahia jambo na kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa na mwenyekiti wa kamati ya baraza la usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas |
Mratibu wa kombe la Muungano Mufindi Daud Yassin kulia akisalimiana na Rais Dr Kikwete |
Rafiki mkubwa wa Dr wiliam Mgimwa mkoani Iringa John Kiteve akiagana na Rais Dr Kikwete huku akiwa na huzuni mwingi |
Katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Iringa Dr Yahaya Msigwa kulia akiagana na rais Dr Kikwete uwanja wa Ndege Nduli |
Waziri wa uchukuzi Dr Mwakyembe kulia akiagana na Rais Dr Kikwete katika uwanja wa ndege Nduli baada ya kutoka kumzika Dr Mgimwa |
Rais Kikwete akiagana na mmoja kati ya mawaziri wake |
"Ni mara yangu ya kwanza kukushika mkono mheshimiwa Rais " |
Mzee Kaundama akisalimiana na rais Kikwete " Mheshimiwa rais Mimi ndie mzee Kaundama mmiliki wa Kalenga Westen Park " Rais : Oh Hongera sana kumbe ndio wewe |
rais Kikwete akiagana na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Iringa |
Kamanda wa TAKUKURU Iringa akiagana na rais Kikwete |
Ras Iringa Bi Wamoja Ayub akiagana na rais Kikwete |
DC Kilolo Gerald Guninita akiagana na rais Dr Kikwete |
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Njombe Pindi Chana akiagana na rais Dr Kikwete |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akiagana na Rais Dr Kikwete |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma akiagana na rais Dr Kikwete |
Katibu msaidizi wa CCM mkoa wa Iringa Jimson Mhagama akipanda katika ndege kwenda kuchukua mchango wake wa harusi kwa JK |
Mzee wa kazi Issa Michuzi akifurahia jambo baada ya kuhitimisha kazi yake |
Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Iringa na wananchi wakimuaga rais Kikwete |
Mkuu wa misafara ya Kikwete Ikulu Kedmund Mnubi kulia akiwa na mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas |
Mmiliki wa ndege 5H-NEG wa piki katikati akiwa na wadau mbali mbali |
Mfanyabiashara Pill Mohamed kushoto akiwa na mwanae |
0 comments:
Post a Comment