Saturday, 11 January 2014

LIGI KUU ENGLAND: HAZARD NA TORRES WAIPELEKA CHELSEA KILELENI ANGALIA MATOKEO YA MECHI ZA LEO

>>SUNDERLAND YAJITOA MKIANI, YAIPIGA FULHAM 4-1!
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Januari 11
[Saa za Bongo]
Hull 0 Chelsea 2
Cardiff 0 West Ham 2
Everton 2 Norwich 0
Fulham 1 Sunderland 4
Southampton 1 West Brom 0
Tottenham 2 Crystal Palace 0
2030 Man Utd v Swansea

Chelsea leo imepanda hadi kileleni mwa Ligi Kuu England baada kuifunga Hull City Bao 2-0 huko KC Stadium.
Huku Man City wakitarajiwa kucheza Jumapili na Arsenal Jumatatu Usiku, Chelsea walitumia mwanya huu kuzipiku na kukaa Nambar Wani kwenye Ligi kwa Bao za Kipindi cha Pili za Eden Hazard na Fernando Torres.
Nao, Sunderland, ambao leo waliingia dimbani wakiwa mkiani, wamejinasua toka hapo na kupanda nafasi moja juu baada kushinda Ugenini Uwanjani Craven Cottage walipoinyuka Fulham Bao 4-1.
Bao za Sunderland zilifungwa na Adam Johnson, Hetitriki, moja likiwa Penati, na Ki Sung-Yueng huku Bao la Fulham likifungwa na Steve Sidwell.
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumapili Januari 12
1705 Newcastle V Man City
1910 Stoke V Liverpool
Jumatatu Januari 13
2300 Aston Villa V Arsenal
MSIMAMO:
NA TIMU P GD PTS
1 Chelsea 21 21 46
2 Arsenal 20 21 45
3 Man City 20 34 44
4 Everton 21 15 41
5 Tottenham 21 1 40
6 Liverpool 20 23 39
7 Man Utd 20 9 34
8 Newcastle 20 4 33
9 Southampton 21 4 30
10 Hull 21 -5 23
11 Aston Villa 20 -6 23
12 Stoke 20 -11 22
13 Swansea 20 -2 21
14 West Brom 21 -5 21
15 Norwich 21 -18 20
16 Fulham 21 -24 19
17 West Ham 21 -10 18
18 Cardiff 21 -18 18
19 Sunderland 21 -15 17
20 Crystal Palace 21 -18 17

Related Posts:

0 comments: