HOME »
» IDADI YA MAGARI KTK ZIARA ZA VIONGOZI WA KITAIFA NI VEMA IKAPUNGUA KUBANA MATUMIZI
 |
Haya
ni baadhi tu ya magari yaliyoshiriki ziara ya Rais Dr Jakaya
Kikwete mkoani Njombe mapema mwaka jana ,hivi tujiulize leo idadi
ya viongozi waliokuwemo ktk magari hayo wasingeweza kubanana ktk
magari kama 10 hivi na gharama ya mafuta ya magari hayo ingetumika hata
kuchangia ujenzi wa chumba kimoja cha darasa |
0 comments:
Post a Comment