Monday, 6 January 2014

KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100. PATA HABARI ZAIDI


kaaka1 47872
Jana   kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A. Kaka kabla ya mchezo wa jana alikuwa ameifungia Milan mabao 99. 
Chanzo: binzubeiry 

Related Posts:

0 comments: