SWANSEA: MARA YA KWANZA KUITANDIKA UNITED OLD TRAFFORD!CHELSEA, LIVERPOOL ZASONGA!
MAN U YATOLEWA KOMBE LA FA, YAPIGWA 2-1 NA SWANSEA
MATOKEO:
FA CUP: RAUNDI ya TATU
Jumapili Januari 5
Nottingham Forest 5 West Ham 0
Sunderland 3 Carlisle 1
Derby 0 Chelsea 2
Liverpool 2 Oldham 0
Port Vale 2 Plymouth 2
Manchester United 1 Swansea 2
Swansea walitangulia kufunga bao kupitia
Routledge na Chicharito kusawazisha lakini balaa la kupewa Kadi
Nyekundu kwa Fabio zikiwa zimebaki Dakika 10 ziliwaathiri baada Bony
kufunga Bao la pili katika Dakika ya 90.
Hata hivyo, katika Mechi nzima, Refa Mike Dean, alionyesha wazi kutowatendea haki Man United hasa maamuzi yake ya Rafu na Kadi.
VIKOSI:
Man United: Lindegaard, Smalling, Ferdinand, Evans, Buttner, Valencia, Fletcher, Cleverley, Kagawa, Welbeck, Hernandez
Akiba: De Gea, Anderson, Giggs, Carrick, Fabio Da Silva, Zaha, Januzaj.
Swansea: Tremmel; Tiendalli, Amat, Chico, Taylor; Britton, De Guzman; Pozuelo, Shelvey, Routledge; Bony
Akiba: Williams, Cornell, Canas, Rangel, Vazquez, Ben Davies, Donnelly.
Refa: Mike Dean
CHELSEA YAPETA KOMBE LA FA
AKICHEZA mechi yake ya 300, kiungo
John Obi Mikel amefunga bao katika ushindi wa Chelsea wa 2-0 katika
Raundi ya tatu ya Kombe la FA jioni hii Uwanja wa iPro.
DROO KAMILI:
**Mechi kuchezwa Wikiendi ya Januari 25
Sheffield United v Norwich /Fulham
Birmingham/Bristol Rovers/Crawley v Swansea
Bournemouth/Burton v Liverpool/Oldham
Blackburn/Manchester City v Bristol City/ Watford
Derby/Chelsea v Stoke
Wigan/MK Dons v Crystal Palace
Stevenage v Everton
Arsenal v Coventry
Rochdale v Macclesfield/Sheffield Wednesday
Southend v Hull City
Nottingham Forest v Ipswich/Preston
Port Vale/Plymouth v Brighton
Huddersfield v Charlton or Oxford
Southampton v Yeovil
Bolton v Cardiff
Sunderland/Carlisle v Kiddrminister/Peterborough
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
0 comments:
Post a Comment