Tuesday, 14 January 2014

HAKUNA UKWELI UKWELI WOWOTE KUHUSU BARAZA LA MAWAZIRI

Zimeonezwa  habari  zisizo  za ukweli kuwa Rais Jakaya  Kikwete  ametangaza  baraza la mawaziri na  kutaja  baaadhi  ya  wabunge  kuwa  wameingia katika baraza  hilo mtandao  huu  wa  mbeyagreennewsblog  umelazimika  kutafuta  baadhi ya  vyanzo  vya habari za uhakika  na  kuthibitisha  kuwa taarifa  hizo  ni  uzushi mtu na  kuwa hakuna baraza  la mawaziri  lililotangazwa na Rais Kikwete na kama baraza  litatangazwa  basi ingefahamika.

Hivyo mtandao  huu unakuomba mdau  kuwa na subira iwapo  Rais atatangaza  baraza hakutakuwa na siri  katika  hilo

Related Posts:

0 comments: