Sunday, 26 January 2014

FA CUP: TIMU ZASUBIRI DROO YA RAUNDI YA 5!! DROO KUFANYIKA LEO USIKU

>>DROO KUFANYIKA LEO USIKU, VIGOGO KUKUTANA??
FA_CUP_LOGO_NEWDROO ya Raundi ya 5 ya FA CUP italeta si chini ya Mechi mbili zitakazogonganisha Timu za Ligi Kuu England itakapofanyika Leo Usiku huko Wembley Stadium Jijini London kuanzia Saa 2 Dakika 35 Usiku, Saa za Bongo.
Katika Droo hiyo, ambako zipo Jumla ya Timu 16, kila Timu inapewa Kipira chenye Namba na Vipira 10 au 11 vitakuwa vya Timu za Ligi Kuu England na Vipira 5 au 6 vitakuwa vya Timu za Madaraja ya chini ya Ligi Kuu.
Hadi sasa, kukiwa kumebaki Mechi mbili tu ambazo zinachezwa Leo, ni Mechi moja tu inahitaji Marudiano baada ya Jana Nottingham Forest na Preston kutoka Sare 0-0.
Hapo Jana, Timu pekee ya Ligi Kuu ambayo ilibwagwa nje ni Crystal Palace.
Mechi za Raundi ya 5 zitachezwa Wikiendi ya Februari 15 na 16.
DROO
NAMBA ZA VIPIRA
1 Sunderland
2 Cardiff City
3 Southampton
4 Charlton Athletic
5 Brighton & Hove Albion
6 Nottingham Forest AU Preston North End
7 Hull City
8 Sheffield Wednesday
9 Arsenal
10 Everton
11 Wigan Athletic
12 Chelsea AU Stoke City
13 Manchester City
14 Liverpool
15 Swansea City
16 Sheffield United AU Fulham

FA CUP
RATIBA/MATOKEO:
Raundi ya 4
Ijumaa Januari 24
Arsenal 4 Coventry 0
Nottingham Forest 0 Preston 0
Jumamosi Januari 25
Bournemouth 0 Liverpool 2
Birmingham 1 Swansea 2
Manchester City 4 Watford 2
Wigan 2 Crystal Palace 1
Rochdale 1 Sheffield Wednesday 2
Southend 0 Hull City 2
Port Vale 1 Brighton 3
Huddersfield 0 Charlton 1
Southampton 2 Yeovil 0
Bolton 0 Cardiff 1
Sunderland 1 Kidderminister 0
Stevenage 0 Everton 4
Jumapili Januari 26
[Saa za Bongo]
16:00 Sheffield United v Fulham
18:30 Chelsea v Stoke

THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17

0 comments: