>>BARCA 4 GETAFE 0!
>>LEO REAL v OSASUNA!
Wakati Messi yuko Benchi, Cesc Fabregas
ndie aliepiga Bao 2 za kwanza za Barca, moja likiwa ni Penati na Messi
kumalizia 2 katika Dakika za mwishoni.
Mechi nyingine za Copa del Rey zitaendelea Usiku huu ambapo pia Vigogo Real Madrid watacheza na Osasuna.
COPA del REY
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumanne Januari 7
Valencia 1 Atletico de Madrid 1
Jumatano Januari 8
Real Betis 1 Athletic de Bilbao 0
Alcorcon 1 RCD Espanyol 0
FC Barcelona 6 Getafe CF 0
Real Racing Santander 1 UD Almeria 1
Alhamisi Januari 9
21:30 Real Sociedad v Villarreal CF
23:30 Real Madrid CF v Osasuna
23:30 Rayo Vallecano v Levante
Marudiano
Jumanne Januari 14
21:30 UD Almeria v Real Racing Santander
23:30 Atletico de Madrid v Valencia
Jumatano Januari 15
21:30 Athletic de Bilbao v Real Betis
21:30 RCD Espanyol v Alcorcon
23:30 Osasuna v Real Madrid CF
23:30 Levante v Rayo Vallecano
Alhamisi Januari 16
22:00 Villarreal CF v Real Sociedad
24:00 Getafe CF v FC Barcelona
0 comments:
Post a Comment