Tuesday, 21 January 2014

CHAN 2014: UGANDA NJE, ZIMBABWE, MOROCCO ROBO FAINALI!

>>LEO MWISHO KUNDI C: NANI KUSONGA??
CHAN2014_LOGOUGANDA ambao walikuwa na matumaini makubwa ya kusonga Robo Fainali ya CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, yanayochezwa huko Afrika Kusini, Jana Usiku walitupwa nje baada ya kuchapwa Bao 3-1 na Morocco katika Mechi ya mwisho ya Kundi B.
Bao zilizoiua Uganda katika Mechi hiyo zilifungwa na Rafik Abdessamad, Dakika ya 29, Mouhcine Yajour, ya 77 na Abdelkabir Elouadi, ya 99 na Bao pekee la Uganda kufungwa na Sentamu kwenye Dakika ya 60.
Katika Mechi nyingine ya Kundi B, Zimbabwe walisonga Robo Fainali kwa kuichapa Burkina Faso Bao 1-0 na Bao hilo kufungwa Dakika ya 56 na Mambare.
Kwenye Robo Fainali, Morocco itacheza na Nigeria na Zimbabwe kuivaa Mali.
Leo Kundi C litamaliza Mechi zao huku Libya, Ghana na Congo zikiwa na matumaini ya kusonga na Ethiopia ikiwa tayari iko nje.
Mechi hizi za leo ni Ethiopia v Ghana na Congo v Libya.

MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mali
3
2
1
0
5
3
2
7
2
Nigeria
3
2
0
1
8
6
2
6
3
South Africa
3
1
1
1
5
5
0
4
4
Mozambique
3
0
0
3
4
9
-5
0
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Morocco
3
1
2
0
4
2
2
5
2
Zimbabwe
3
1
2
0
1
0
0
5
3
Uganda
3
1
1
1
3
4
-1
4
4
Burkina Faso
3
0
1
2
2
4
-2
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Libya
2
1
1
0
3
1
2
4
2
Ghana
2
1
1
0
2
1
1
4
3
Congo
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Ethiopia
2
0
0
2
0
3
-3
0
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Burundi
2
1
1
0
3
2
1
4
2
Gabon
2
1
1
0
1
0
1
4
3
Congo DR
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Mauritania
2
0
0
2
2
4
-4
0

VIWANJA:
CAPE TOWN:
-Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/Bloemfontein
-Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium

Ijumaa, Kundi C litacheza Mechi zake mbili huko Mangaung, Bloemfontein Uwanjani Free State Stadium kwa Ghana kucheza na Libya na kufuatia Ethiopia v Congo.
CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]

Jumapili Januari 19
Nigeria 3 South Africa 1
Mozambique 1 Mali 2
Jumatatu Januari 20
Burkina Faso 0 Zimbabwe 1
Morocco 3 Uganda 1
Jumanne Januari 21
2000 Ethiopia v Ghana [Free State Stadium]
2000 Congo v Libya [Peter Mokaba Stadium]
Jumatano Januari 22
2000 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
2000 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
1800 [Mechi Na 26] Morocco v Nigeria [Cape Town Stadium]
2130 [Mechi Na 25] Mali v Zimbabwe [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Mshindi Kundi D v Wa Pili Kundi C [Peter Mokaba Stadium]
2130 [Mechi Na 27] Mshindi Kundi C v Wa Pili Kundi D [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
1800 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
2130 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
1800 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
2100 Fainali [Cape Town Stadium]

Related Posts:

0 comments: