Baraza la Mawaziri limetangazwa leo mchana huu
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, leo amenakutana na vyombo vya habari Ikulu jijini Dar es Salaam na kutangaza majina ya mawaziri wapya. ambao wameziba nafasi za mawaziri walio jiuzurlu
BREAKING NEWSSSSSSSSSSs MBUNGE WA MUFINDI MGIMWA ,NYALANDU ,NCHIMBA ,CHANA ,MIGIRO WAULA BARAZA LA MAWAZIRI
Lazaro Nyalandu awa waziri kamili wizara ya maliasiali na utalii |

Bw Mgimwa mbunge wa mufindi kaskazin.H
Habri kamili ni hii hapa
Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais
- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi
- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe
- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto
- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)
- Naibu Kilimo - Zambi
- Habari - Naibu ni Juma Nkamia
- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene(kwa hisani ya JF)

0 comments:
Post a Comment