Afisa
Mkuu wa Viwango Jumuiya ya Africa Mashariki Willy Musinguzi akielezea
changamoto wanazokabiliana nazo juu uzibiti wa bizaa zisizo na viwango
katika Mkutano wa bodi ya ufundi ya nchi za Africa (EASC) uliofanyika
Zanzibar Beach Resort nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akifungua
Mkutano wanne wa kujadili juu ya viwango na uzibiti wa ubora kwenye
bidhaa, uliofanyika Zanzibar Beach Resort nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi
ya wajumbe wakimsikiliza wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor
Ahmed Mazrui (hayupo pichani) katika Mkutano wa bodi ya ufundi ya nchi
za Africa (EASC) wakujadili viwango na uzibiti wa ubora kwenye bidhaa
uliofanyika Zanzibar Beach Resort.
Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (wakatikati)
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wanne wa kujadili juu ya
viwango na uzibiti wa ubora kwenye bidhaa, uliofanyika Zanzibar Beach
Resort Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Post a Comment