Wafanyabiashara wa mjini Iringa
wamegoma asubuhi hii wakishinikiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
iondoe mashine za EFD kwa madai kwamba wananyonywa na ni wizi
mtupu.Maduka karibu yote ya Miyomboni yamefungwa na wafabishara hao
wameandamana kuangalia yale ambayo hayajafungwa ili washinikize wenzao
wayafunge kwa nguvu.
Monday, 10 February 2014
HOME »
» WAFANYABIASHARA IRINGA WAGOMA, KISA MASHINE ZA TRA
0 comments:
Post a Comment