Wednesday, 12 February 2014

WAFANYA BIASHARA TANZANIA BADO WAENDELEA NA MGOMO WAKUTO FUNGUA MADUKA MIKOA YA MBEYA ,IRINGA, MWANZA N.K

QQQQQQQQQQQ_dba0a.jpg
Ni maduka yaliyopo Eneo la Miyomboni Manispaa ya Iringa (Picha na Fadhi Mtanga)
Na Martha Magessa
Wafanya biashara wa manispaa ya Iringa wafungua maduka yao, baada ya kikao na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt.Christine Ishengoma.Uliyo fanyika jana  katika ukumbi wa community center uliyopo Eneo la kitanzini Manispaa ya Iringa  na kuwaomba wafungue maduka yao ili wananchi wapate huduma.
 Pia taarifa kutaka mikoa ya mbeya, mwanza imesemekana wafanya biashara wameendelea kufanya mgomo baridi wa kutofungua maduka yao kutokana na tatizo lakukataa matumizi ya mashine za electronic za EFD  baadhi ya wafanya biashara wamesema kua wanasubiri tamko rasmi kutaka mamlaka wasika au Rais wa Tanzania

Related Posts:

0 comments: