WAKICHEZA kwao Etihad kwenye Mechi ya Ligi Kuu England, Manchester City wamebaimizaTottenham Bao 6-0 na kujisogeza kileleni wakiwa Pointi 6 nyuma ya Vinara wa Ligi Arsenal.
Man City walipata Bao lao la kwanza
Sekunde 14 tu tangu Mpira kuanza kufuatia makosa ya Kipa wa Spurs Hugo
Lloris ambae alipiga ovyo Mpira na kutua kwa Sergio Aguero aliepiga
shuti ambalo aliliokoa na kutua kwa Jesus Navas aliepiga Mpira wa juu na
kutinga wavuni.
Kisha shuti Alvaro Negredo likambabatiza
Sandro na kutinga na kufuata Bao la 3 kupitia Aguero na kuifanya City
iongoze 3-0 hadi Haftaimu.
MAGOLI:
-Gonzalez Jesus Navas Dakika ya 1 & 90
-Raniere Sandro 34 [Kajifunga mwenyewe]
-Sergio Aguero 41 & 50
-Alvaro Negredo 55
Kipindi cha Pili, Aguero akafunga tena na kufuata Bao za Negredo na Navas na kukamilisha kipondo cha 6-0.
VIKOSI:
Manchester City: Pantilimon; Zabaleta, Demichelis, Nastasic, Clichy; Navas, Fernandinho, Yaya Toure, Nasri; Negredo, Aguero.
Akiba: Hart, Lescott, Richards, Guidetti, Garcia, Milner, Dzeko.
Tottenham: Lloris; Walker, Dawson, Kaboul, Vertonghen; Paulinho, Sandro; Lennon, Holtby, Lamela; Soldado.
Akiba: Friedel, Chiriches, Dembele, Townsend, Sigurdsson, Adebayor, Defoe.
CARDIFF CITY 2 MAN UNITED 2
MABINGWA wa England, Manchester United,
leo wamelazimishwa Sare ya 2-2 Ugenini na Cardiff City baada ya Mchezaji
wao alietoka Benchi, Bo-Kyung Kim, kusawazisha katika Dakika za
Majeruhi.
CARDIFF CITY 1
-Frazier Campbell Dakika ya 33
-Bo-Kyung Kim 90
MAN UNITED 4
-Wayne Rooney Dakika ya 15
-Patrice Evra 45
Bao hilo la Bo-Kyung
Kim lilikuja baada ya kuunganisha Frikiki ya Peter Whittingham na
kupata Sare ya 2-2 kufuatia Man United kuongoza Bao 2-1 hadi Mapumziko.
Man United sasa wameshuka hadi Nafasi ya 6 wakiwa Pointi 7 nyuma ya Vinara Arsenal huku Mechi 12 za Ligi zimechezwa.
Mechi zinazofuata kwa Man United ni
Jumatano Ugenini hukO germany watakapocheza Mechi ya Kundi lao la UEFA
CHAMPIONZ LIGI dhidi ya Bayer Leverkusen na Jumapili Desemba 1 wako
White Hart Lane kucheza na Tottenham katika Mechi ya Ligi.
VIKOSI:
Cardiff: Marshall, Taylor, Caulker, Turner, Theophile-Catherine, Medel, Whittingham, Mutch, Cowie, Odemwingie, Campbell
Akiba: Lewis; Hudson, Cornelius, Kim, Noone, Gunnarsson, Bellamy.
Manchester United: De Gea, Smalling, Ferdinand, Evans, Evra, Fellaini, Cleverley, Valencia, Rooney, Januzaj, Hernandez
Akiba: Lindegaard, Buttner, Anderson, Giggs, Nani, Young, Welbeck.
REFA: Neil Swarbrick
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO
Jumapili 24 Novemba
Manchester City 6 Tottenham Hotspur 0
1900 Cardiff City 2 v Manchester United 2
[Saa za Bongo]
Jumatatu 25 Novemba
2300 West Bromwich Albion v Aston Villa
Jumamosi Novemba 30
18:00 Aston Villa v Sunderland
18:00 Cardiff v Arsenal
18:00 Everton v Stoke
18:00 Norwich v Crystal Palace
18:00 West Ham v Fulham
20:30 Newcastle v West Brom
Jumapili Desemba 1
15:00 Tottenham v Man United
17:05 Hull v Liverpool
19:10 Chelsea v Southampton
19:10 Man City v Swansea
Jumanne Desemba 3
20:00 Crystal Palace v West Ham
Jumatano Desemba 4
22:45 Arsenal v Hull
22:45 Liverpool v Norwich
22:45 Man United v Everton
22:45 Southampton v Aston Villa
22:45 Stoke v Cardiff
22:45 Sunderland v Chelsea
22:45 Swansea v Newcastle
23:00 Fulham v Tottenham
23:00 West Brom v Man City
NA | TIMU | P | GD | PTS |
1 | Arsenal | 12 | 14 | 28 |
2 | Liverpool | 12 | 11 | 24 |
3 | Chelsea | 12 | 11 | 24 |
4 | Man City | 12 | 22 | 22 |
5 | Southampton | 12 | 8 | 22 |
6 | Everton | 12 | 4 | 21 |
7 | Man Utd | 11 | 5 | 20 |
8 | Newcastle | 12 | 0 | 20 |
9 | Tottenham | 12 | -3 | 20 |
10 | Swansea | 12 | 1 | 15 |
11 | West Brom | 11 | 0 | 14 |
12 | Aston Villa | 11 | -1 | 14 |
13 | Hull | 12 | -6 | 14 |
14 | Stoke | 12 | -2 | 13 |
15 | Cardiff | 11 | -6 | 12 |
16 | Norwich | 12 | -13 | 11 |
17 | West Ham | 12 | -5 | 10 |
18 | Fulham | 12 | -10 | 10 |
19 | Crystal Palace | 12 | -14 | 7 |
20 | SUNDERLAND | 12 | -16 | 7 |
0 comments:
Post a Comment