Na Mwandishi wa HabariMseto blog — Chama
cha Demokrasia na Maendeleo kimesema kimewaandikia barua aliyekuwa
Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Zitto Kabwe na Mjumbe wa kamati Kuu Dk
Kitila Mkumbo ambazo wanapaswa kujieleza kwa siku kumi na moja, kisha
watapata fursa kujieleza mbele ya kamati kuu maalumu kwa nini
wasifukuzwe kutoka Chamani.
Akizungumza katika makao makuu ya chama hicho, Mkurugenzi wa habari na Uenezi John Mnyika alisema barua hizo zipo tayari na wahusika watapatiwa wakati wowote kuanzia leo.
Mnyika alikuwa akitoa taarifa ya kikao cha Utekelezaji cha sekretarieti ya chama hicho iliyoketi baada ya mkutano wa kamati kuu iliyoketi tarehe 20 – 22 Novemba mwaka huu.
Ni katika Mkutano huo, Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu alisema kuwa mkutano uliofanywa na Zitto na Dk

0 comments:
Post a Comment