Saturday, 23 November 2013

MAREKANI YAAZIMISHA MIAKA 50 TANGU KUUAWA KWA RAIS JOHN F.KENNEDY

Picture
Rais Barack Obama (wa pili kulia) akiwa na mkewe Michelle, Rais mstaafu Bill Clinton (wa tatu kulia) na mkewe Hillary Clinton wakitoa heshima mbele ya kaburi la JFK jumatano wiki hii.
Kwa wiki nzima, kumekuwa na shughuli mbalimbali kukumbuka tukio hili lililoshitua wengi nchini humo.

Mambo mengi yametendeka. Vitabu vipya vimeandikwa na watu wamezungumzia kuuawa kwa Rais huyo pamoja na ufuasi alioacha kwenye uongozi mpaka sasa. Na kama ilivyotegemewa, Kengele ziligongwa, maua yaliwekwa kwenye kaburi, bendera zilipepea nusu mlingoti na nyimbo mbalimbali ziliimbwa.

Rais Barak Obama, aliadhimisha kumbukumbu hizo Jumatano wiki hii kwa kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais 


0 comments: