Saturday, 23 November 2013

TAARIFA KUTOKA KWA ZITTO KABWE,DK KITILA MKUMBO LEO KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI

Picha:Zitto Kabwe.jpg
Mh zitto kabwe


Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari  leo  siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013.

Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni.

Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5.00 asubuhi.

Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe,
Dar es Salaam.
Jumamosi, 23 Novemba 2013.
Dar es Salaam. 


 

0 comments: