Sunday, 24 November 2013

KATIKA LIGI KUU ITALIA SERIE" A" MABINGWA JUVE WAKALIA WAKWEA KILELENI BAADA YA KUPIGA MTU 2-0

LLORENTE, TEVEZ WATIKISA KAMBA!!

BAO 2 za Fernando Llorente na Carlos Alberto Tevez leo zimewapa Mabingwa wa Italy JuventusTEVEZ_IN_JUVE  ushindi wa Bao 2-0 katika Mechi ya Ligi Serie walipoichapa AS Livorno Calcio kwenye Stadio Armando Picchi na kukaa kileleni mwa Ligi hiyo.

MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
2
Juventus
13
11
1
1
28
10
18
34
1
AS Roma
12
10
2
0
26
3
23
32
3
SSC Napoli
13
9
1
3
24
12
12
28
4
Inter Milan
12
7
4
1
29
12
17
25
5
Fiorentina
13
7
3
3
24
15
9
24
6
Hellas Verona
13
7
1
5
22
20
2
22

Juve sasa wanaongoza kwa kuwa na Pointi 34 kwa Mechi 13 na wanafuatia AS Roma wenye Pointi 32 kwa Mechi 12 na ambao watacheza Mechi yao ya mkononi wakiwa Nyumbani Jumatatu Usiku dhidi ya Cagliari.
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Novemba 23
Hellas Verona FC 0 AC Chievo Verona 1
AC Milan 1 Genoa CFC 1
SSC Napoli 0 Parma FC 1
Jumapili Novemba 24
Torino FC 4 Calcio Catania 1
Udinese Calcio 1 ACF Fiorentina 0
UC Sampdoria 1 SS Lazio 1
AS Livorno Calcio 0 Juventus FC 2
US Sassuolo Calcio 2 Atalanta BC 0
2245  Bologna FC v Inter Milan
Jumatatu Novemba 25
2245  AS Roma v Cagliari Calcio

0 comments: