Wanahabari Iringa wakifuatilia mkutano huo kulia ni msanii Mrisho Mpoto |
Msanii Mrisho Mpoto kulia akiwa na wasanii Masoud Kipanya kushoto na Profesa Jay leo katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Iringa wasanii hawa ni mabalozi wa uhamasishaji wa kilimo kwa vijana na wanawake nchini Tanzania
0 comments:
Post a Comment