Tathmini hiyo inafanyika ili kubaini
changamoto zilizojitokeza na kuzitafutia ufumbuzi kabla ya kuendelea
tena na matumizi hayo, kubwa ikiwa ni hadhari iliyotolewa na vyombo vya
Usalama juu ya misongamano inayotokea uwanjani kutokana na kutokuwepo
mtiririko mzuri wa uingiaji.
Tayari zipo changamoto za wazi ikiwemo
uelewa wa washabiki wa jinsi ya kununua na kutumia tiketi hizo, milango
michache ya kuingilia uwanjani na washabiki wengi kununua tiketi dakika
za mwisho hivyo kuchangia misongamano. Chanzo: shaffihdauda
0 comments:
Post a Comment