Usiku
wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelea
Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea kwa moto
baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kulipua ofisi za makao
hayo.
Hii ni video inayomuonyesha Katibu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa akielezea tukio hilo.












0 comments:
Post a Comment