Sunday, 2 February 2014

LIGI KUU ENGLAND: WEST BROM YAIBANA LIVERPOOL! WATOA SARE YA 1-1

>>KOLO TOURE ATOA ‘ZAWADI’!!

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumapili Februari 2
West Brom 1 Liverpool 1
19:00 Arsenal v Crystal Palace

BPL2013LOGOBEKI wa Liverpool Kolo Toure alitoa pasi fyongo iliyomkuta Straika Victor Anichebe na kuisawazishia West Bromwich Albion katika Dakika ya 67 baada ya kuwa nyuma tangu Dakika ya 24 walipofungwa na Daniel Sturridge aliepokea pasi safi toka kwa Luis Suarez.
Sare hii imezibakisha Timu zote mbili kwenye Nafasi zao zilezile kwa Liverpool kubaki Nafasi ya 4 na WBA kushika Nafasi ya 17.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumatatu Februari 3
23:00 Man City v Chelsea
Jumamosi Februari 8
1545 Liverpool v Arsenal
1800 Aston Villa v West Ham
1800 Chelsea v Newcastle
1800C rystal Palace v West Brom
1800 Norwich v Man City
1800 Southampton v Stoke
1800 Sunderland v Hull
2030 Swansea v Cardiff
Jumapili Februari 9
1630 Tottenham v Everton
1900 Man United v Fulham
Jumanne Februari 11
2245 Cardiff v Aston Villa
2245 Hull v Southampton
2245 West Ham v Norwich
2300 West Brom v Chelsea
Jumatano Februari 12
2245 Arsenal v Man Unitwd
2245 Everton v Crystal Palace
2245 Man City v Sunderland
2245 Newcastle v Tottenham
2245 Stoke v Swansea
2300 Fulham v Liverpool
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Man City
23
42
53
2
Arsenal
23
24
52
3
Chelsea
23
23
50
4
Liverpool
24
29
47
5
Everton
24
12
45
6
Tottenham
24
-1
44
7
Man Utd
24
10
40
8
Newcastle
24
1
37
9
Southampton
24
7
35
10
Aston Villa
24
-7
27
11
Stoke
24
-14
25
12
Swansea
24
-6
24
13
Hull
24
-7
24
14
Sunderland
24
-11
24
15
Norwich
24
-18
24
16
Crystal Palace
23
-16
23
17
West Brom
24
-6
23
18
West Ham
24
-9
22
19
Cardiff
24
-22
21
20
Fulham
24
-31
19

Related Posts:

0 comments: