"WASANII TUTAZIDI KUPUKUTIKA MAANA TUNAROGANA SANA..
Akiongea
na mwandishi wetu pasipo kuwataja wabaya wake, Shilole alisema hivi
sasa ‘kesi’ za wasanii kurogana zimeshika kasi kuliko siku za nyuma na
anashindwa kuelewa ni kwa nini watu wanamuasi Mungu kwa kuendekeza
ushirikina.
“Kwa staili hii wasanii tutazidi kupukutika, kuna wakati huwa nafikiria hata kuachana na muziki maana tunarogana na namuomba Mungu usiku na mchana hata kabla ya kupanda stejini kwani hali ni tete,” alisema Shilole.

SOURCE: PETERSANGA BLOG
0 comments:
Post a Comment