Monday, 17 February 2014

BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINTI

Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa hata hivyo alirudi uringoni kupambana Mchanjo alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mchanjo alishinda kwa pooint picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Twalibu Mchanjo kulia akiamuliwa na refarii Saidi Chaku aende kona nyeupe ili aendelee kumuhesabia mpinzani wake Eliya Ngozi, baada ya kumtandika konde na kwenda sakafuni

Bondia Twalibu Mchanjo

Bondia Twalibu Mchanjo akinyooshwa mkono juu kuashiria ushindi wake

Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaa mpambano huo walitoka Droo PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam katika  mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corner Dar es salaam  mabondia hao walitoka Droo PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Adam Yahaya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Kikolekwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Mohamed Kikolekwa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Yahaya wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika kwa mama Rajabu mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhili Awadhi kushoto akipambana na Mfaume Jumanne wakati wa mpambano wao Awadhi alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Related Posts:

0 comments: