HOME »
» YANGA AFRIKA YAANZA MAZOEZI NCHINI UTURUKI
Timu ya yanga meanza mazoezi nchini uturuki baada ya kufika salama nchini humo taarifa zaidi kutoka kwenye timu hiyo zinasema kuwa itacheza mechi tatu za kirafiki ndani ya wikimbili itayo kaa nchini humo ingawa yanga haijaeweka wazi itacheza na timu gani
0 comments:
Post a Comment