Saturday, 9 April 2016
HOME »
» Mgombea mwenza wa lowesa Juma Duni Haji Arejea CUF kisiwani zanzibar
Mgombea mwenza wa lowesa Juma Duni Haji Arejea CUF kisiwani zanzibar
Aliyekuwa mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo. Haji alikuwa mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha Bendera ya CHADEMA
0 comments:
Post a Comment