Vanessa Mdee na Idris sultan wameongezeka kwenye orodha ya mastaa wachache Afrika ambao akaunti zao za mtandao wa kijamii wa Instagram zimekuwa ‘Verified’
vee11
iddy
vee11
“We live in a world of blue ticks and purple hearts 💜 #Niroge” Vanessa Ameandika kwenye Instagram yake.Akaunti zao zimekuwa verified na kuwekewa kitiki cha blue kuonesha kuwa ni akaunti halali.
iddy
“This is to all my beautiful fans...... #WataelewaTu#MeAmBiziii #HollywoodISeeYou#HuuMchezoHautakiHasira” Idris ameandika kwenye Instagram yake.Vee na Idris wameungana na Flaviana Matata na Diamond Platnumz kwenye orodha ya mastaa wachache ambao akaunti zao za Instagram zimukuwa Verfied.
0 comments:
Post a Comment