Thursday, 14 April 2016

MASANJA .AAMUA KUUZA CHAKULA MWENYEWE MTAANI KWA BEI YA TSH 4000 KWA SAHANI



MASANJA WALI NYAMA!!! HII ILIKUWA JANA ZAIDI YA RAIA 150 WANAOISHI KTK JIJI LA @paulmakondaNILIWAHUDUMIA!!! NAWASHUKURU SANA KWA KUNIUNGA MKONO JAMANI!!! MCHANA HUU NAINGIA TENA MTAAN NIKO TAYARI KUPOKEA ODA YAKO BEI SH 4000/= NICHEKI 0759 855 855 NILETE MWENYEWEEE!!!!!!!#SiUnajuaMcheleNalimaMwenyewee

0 comments: