Tuesday, 12 April 2016

Hat-trick ya Cristiano Ronaldo imeipeleka Real Madrid nusu fainali.


Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 12 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya  Wolfsburgs kutoka Ujerumani ilisafiri kuelekea Hispania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji wao  Real Madrid.rooooo
Mchezo uliopita uliopigwa April 6 2016  Real Madrid walikuwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Wolfsburg ya Ujerumani, leo Wolfsburgwamekubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya wenyeji wao Real Madrid, Magoli ambayo yamefunga na Cristiano Ronaldo katika dakika ya 16, 17, 77. nakufanya mchezo huo kumalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-0.
Video ya magoli ya Real Madrid vs Wolfsburg

Matokeo mengine Manchester City  wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Paris Saint Germain


0 comments: