Tuesday, 12 April 2016

FAIZA ALLY..Nampenda Sana Sugu Hata Akitaka Mtoto wa Pili na Watatu Nitampatia....

 
Baada ya Picha Kusambaa Mitandaoni Sugu Akiwa na Mpenzi wake mwingine, Mama wa Mtoto wake Faiza Ally ambae kwa sasa hawapo pamoja amefunguka mengi nimekuwekea hapa baadhi:


faizaally_ KUMPENDA MTU SIO ZAMBI  TUKANENI TU ! NAUMIA WALA SIKATAI LKN SIO KESI ! NINI HAWARA HATA AKIOA - ACHA MMBONGO HATA AKIOA MALKIA WA UK - BADO SIWEZI KUHUKUMIWA NDIO HIVYO TENA NAMPENDA - PEANENI HABARI - TUKANENI LKN NAMPENDA HIVYO HIVYO NDIO BABA WA MWANANGU HLF SIKUMUIBA....... NAJUA MNATAMANI HATA MWANANGU ASINGE KUWA HUYO NDIO BABA YAKE LKN NDIO BASI TENA MIPANGO YA MUNGU NA BY THE WAY AKITAKA MTOTO WA PILI NTAMPA NA WA TATU PIA.......

Faizaally_ PIGENI TU PICHA KWENYE NYUMBA YA MWANANGU LKN MWENYEWE AKIKUA ATAKUJA - KAMA HAJAWA AMBIA KILA KITU KIKO CHINI YA JINA LA DESDERIA-SASHA - HATA HOTEL MPYA INAITWA DESDERIA  #SHIKAMOO SASHA MBILINYI



Faizaally_ SIFAI NAFAA NDIO MAMA SASHA # THROW BACK MBEYA KWA BABA 🏻️ SEBLENI KWETU NA PAZIA CHAGUO LA MAMA  # KALIENI TU MAKOCHI YANGU #PIGENI PICHA KWENYE MAUA ALIO PANDA MAMA YANGU # NIKIKUA NARUDIIII KWETU #NA HIVI BABA YANGU ANA NIPENDA MTAJAMBIA HEWANI # IN SASHAS VOICE

0 comments: