Mh rais amekiri kuwa ameagiza watu wake kurekodi (kwa lugha ya kitaalamu kudukua) maongezi ya mawaziri na makatibu wakuu ili apate ushaidi wa kuwafukuza.
Nimesoma katiba nzima sikuona sehemu iliyoandikwa eti kulalamika ni kosa la jinai au la kawaida. Sasa huu kurekodi anaoufanya Mh. rais hauvunji haki za binadamu??
Wanasheria nisaidieni,
Nimesoma katiba nzima sikuona sehemu iliyoandikwa eti kulalamika ni kosa la jinai au la kawaida. Sasa huu kurekodi anaoufanya Mh. rais hauvunji haki za binadamu??
Wanasheria nisaidieni,
0 comments:
Post a Comment